Wasiliana Nasi
Robians tupo kwa ajili yako. Tunahema kwasababu yako. Tunafanya kazi kwasababu yako. Tutafurahi kukusikiliza kwa hitaji lolote.
Utumaji Bidhaa
Ufungaji & Utoaji
Huduma za Maswali & Majibu
Sera ya Kurejesha
tutafute
Kwa Lalumpa Shop No. 14,
Sinza kwa Remmy,
Dar es Salaam - Tanzania.
msaada
Call: +255758204552
WhatsApp: +255710514341
Email: manager@robiansunderwear.co.tz
marketing@robiansunderwear.co.tz
masaa ya kazi
Mon - Sat: 09:00 - 21:00
Sun: 10:00 - 21:00
Una Maswali Yoyote?
Kwa changamoto yoyote utakayoipata wakati unafanya manunuzi au kutumia bidhaa zetu, usisite kututafuta. Tutafurahi kukuhudumia!
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Kwa wateja wa mikoani (Arusha, Mbeya, Dodoma na mikoa mingine tofauti na Dar es salaam) malipo yanafanyika kabla ya kutumiwa bidhaa.
Lakini kwa wateja wa Pwani na Dar es Salaam, mteja anaweza kulipia kabla au baada ya kufikishiwa bidhaa.
Ili kuepukana na usumbufu huu, zingatia vifuatavyo:
Kwa chupi za kike, tunatoa ushauri kwenye maelezo ya kila bidhaa zetu – chini ya bidhaa.
Kwa underwear nyingine, tumeweka size ya kila bidhaa ili uweze kuchagua size inayokufaa binafsi.
Kwa maelezo zaidi, usisite kupiga namba hii.
Delivery zote, ndani ya Dar es Salaam na Pwani, zinafanyika jioni kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 12 jioni.
Kwa wateja wa mikoani, delivery inafanyika jioni pia, na utaupata mzigo wako kesho yake ndani ya muda husika.
MUHIMU: Order zote zinapokelewa kuanzia saa 2 kamili asubuhi.