Return and Refund Policy

All of our retail and bundle products are NON-RETURNABLE. If we mistakenly send you a wrong bundle (in terms of size, color or/and style), you can claim it and we will make sure to send you the appropriate package the next day (we will require a receipt or delivery note of the claimed products).

Bidhaa zetu zote za rejareja zikinunuliwa HAZIRUDI. Ikitokea tumekosea na kukutumia bidhaa yeye ukubwa, rangi au/na mtindo tofauti na uliyoagiza, tutakuja kuichukua hiyo bidhaa (pamoja na risiti au noti ya utoaji) na kukuletea chaguo lako siku inayofuata.

 

Our wholesale products are eligible to return and exchange within 5 days of purchase. This can be applicable under the following conditions:

  1. A package damage by the delivery instruments – in case of a bus accident.
  2. A failure from our part to deliver the required standards in terms of size, color or/and style of your choice.

(If any among the two situations arise, we will gladly accept the claim and send you another shipment within 5 days).

Kwa bidhaa zetu za jumla, mteja anaweza kurudisha na kubadilisha ndani ya siku 5 baada ya kufanya manunuzi. Ili hii iwezekane, masharti yafuatavyo lazma yatokee:

  1. Kuaribika kwa mzigo kwasababu ya changamoto za vyombo vya Usafiri. Kwa mfano, kutokea kwa ajali.
  2. Sisi kushndwa kukutumia bidhaa yenye vigezo (ukubwa, rangi, na/au mtindo) kama ulivyoweka kwenye oda yako.

(Ikitokea changamoto yoyote kati hizo mbili, tutakubali urudishe mzigo na kukutumia mwingine ndani ya siku 5)

 

Shopping Cart